Lucy Wanjiku Njenga
Biography
Lucy Wanjiku Njenga is a dynamic young leader who prides herself in creating an enabling environment for other young leaders to thrive. She has worked in the HIV responses for more than ten years with experience in establishing feminist movements as well as agitating for gender equality from the grassroots level to global level.
Wanjiku is the Founding Coordinator of Sauti Skika, the first network of adolescents living with HIV in Kenya and the Founder and Executive Director of Positive Young Women Voices, a grassroots community-based organization that works to empower adolescent girls and young women living with or affected by HIV. She serves as the member of the ICASO Board of Directors; Board Member in the Country Coordinating Mechanism to the Global Fund and a former African Delegate to the UNAIDS Programme Coordinating Board.
Wanjiku has authored Hope Made A Way - a memoir of her journey of triumph against adversities and inequalities.
Lucy Wanjiku Njenga ni kiongozi machachari anaona fahari katika kuunda mazingira yanayowezesha viongozi wengine vijana kufanikiwa. Amefanya kazi katika kukabiliana na HIV kwa zaidi ya miaka kumi akijenga harakati za kifeministi na kupigania usawa wa kijinsia kuanzia ngazi ya chini kabisa hadi ngazi ya kimataifa.
Wanjiku ni Mwanzilishi na Mratibu wa kwanza wa Sauti Skika, mtandao wa kwanza wa vijana wanaoishi na HIV nchini Kenya na Mwanzilishi na Mkurugenzi Mtendaji wa Positive Young Women Voices, shirika la msingi la jamii linalofanya kazi ya kuwawezesha wasichana na wanawake wanaoishi na au walioathiriwa na HIV. Anatumikia kama mwanachama wa Bodi ya ICASO; Mjumbe wa Bodi katika Mfumo wa Uratibu wa Nchi kwa Global Fund na alikuwa Mwakilishi wa Afrika kwenye Bodi ya Uratibu ya Programu ya UNAIDS.
Wanjiku ameandika kitabu Hope Made A Way - kumbukumbu ya safari yake ya ushindi dhidi ya vikwazo maishani.
Send a message
This form sends your message to Ace Robinson at Equity Is the Word.